12 Septemba

tarehe
Ago - Septemba - Okt
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 12 Septemba ni siku ya 255 ya mwaka (ya 256 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 110.

Matukio

hariri

Waliozaliwa

hariri

Waliofariki

hariri

Sikukuu

hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya Jina takatifu la Maria na za watakatifu Autonomo, Kronide, Leonsi na Serapioni, Ailbe, Gwido wa Anderlecht, Fransisko Ch'oe Kyong-hwan n.k.

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 12 Septemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES