16 Juni
tarehe
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 16 Juni ni siku ya 167 ya mwaka (ya 168 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 198.
Matukio
hariri- 1846 - Uchaguzi wa Papa Pius IX
Waliozaliwa
hariri- 1139 - Konoe, mfalme mkuu wa Japani (1142-1155)
- 1723 - Adam Smith, mwanafalsafa kutoka Uskoti
- 1897 - Georg Wittig, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1979
- 1902 - Barbara McClintock, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1983
- 1962 - Femi Kuti, mwanamuziki kutoka Nigeria
- 1971 - Tupac Shakur, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1106 - Mtakatifu Beno wa Meissen, askofu nchini Ujerumani
- 1216 - Papa Innocent III
- 1929 - Vernon Louis Parrington, mwanahistoria kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Julita na Kwiriko, Fereoli na Ferusi, Similiani, Tikoni wa Limassol, Aureo, Justina na wenzao, Aureliano wa Arles, Sekardo, Beno wa Meissen, Lutgarda, Dominiko Nguyen, Dominiko Nhi, Dominiko Mao, Visenti Tuong, Andrea Tuong n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- Today in Canadian History Archived 17 Machi 2021 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 16 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |