24 Mei
tarehe
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 24 Mei ni siku ya 144 ya mwaka (ya 145 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 221.
Matukio
hariri- 1086 - Uchaguzi wa Papa Viktor III
Waliozaliwa
hariri- 1819 - Malkia Viktoria wa Uingereza (1837-1901)
- 1905 - Mikhail Sholokhov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1965
- 1940 - Joseph Brodsky, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1987
- 1941 - Bob Dylan, mwanamuziki wa Marekani
- 1942 - James Fraser Stoddart, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2016
- 1963 - Michael Chabon, mwandishi kutoka Marekani
- 1975 - Will Sasso, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1543 - Nicolaus Copernicus, padri mwanasayansi kutoka Poland
- 1974 - Duke Ellington, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Manaeni, Yoana mke wa Kusa, Zoelo wa Listra, Servulo wa Trieste, Donasiani na Rogasiani, Wafiadini wa Plovdiv, Visenti wa Lerins, Simeoni wa Mnarani Kijana, Augustino Yi Kwanghon na wenzake n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 24 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |