Abdi Hassan Mshangama

Abdi Hassan Mshangama (amezaliwa 27 Januari, 1943) ni mbunge wa jimbo la Lushoto katika bunge la kitaifa tangu 2005 huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Mengi kuhusu Abdi Hassan Mshangama". 25 Aprili 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
  NODES