Ahunui
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Ahunui ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa la Tuamotu. Kiko upande wa kusini wa kisiwa cha Paraoa. Eneo la kisiwa ni km² 5.7.
Wakati wa sensa ya mwaka wa 2012, hakukuwa na watu wakaao kisiwani kwa Ahunui.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|