Aleppo
Aleppo (kwa Kiarabu: ﺣﻠﺐ, Ḥalab) ni jiji la Syria ambalo kabla ya vita vya wenyewe kwa wenyewe lilikuwa na wakazi milioni 4.6 (2010)[1]. Kwa sasa si tena mji mkubwa na nchi, bali wa pili baada ya mji mkuu, Damascus.
Aleppo ni kati ya miji ya zamani zaidi duniani, akikaliwa tangu milenia ya 6 KK.[2] labda kutokana na biashara kati ya Mediteranea na Mesopotamia.
Mji wa Kale umo katika orodha ya urithi wa dunia ya UNESCO.
Tanbihi
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-17. Iliwekwa mnamo 2018-06-05.
- ↑ Columbia Encyclopedia, Sixth Edition (2010)
Viungo ya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Aleppo travel guide kutoka Wikisafiri
- Aleppo Governorate
- Aleppo news
- Aleppo history and culture Ilihifadhiwa 28 Januari 2021 kwenye Wayback Machine.
36°13′N 37°10′E / 36.217°N 37.167°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Aleppo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |