Caen
Caen ndiyo mji mkuu katika mkoa la Basse-Normandie. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 110,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 2-73 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Caen | |
Mahali pa mji wa Caen katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 49°10′59″N 0°22′10″W / 49.18306°N 0.36944°W | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Basse-Normandie |
Wilaya | Calvados |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 110,399 |
Tovuti: www.ville-caen.fr |
Historia
haririJiografia
haririViungo vya nje
hariri- (Kifaransa) Caen City Council Ilihifadhiwa 6 Novemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- (Kifaransa) Caen Borough Council Ilihifadhiwa 12 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- (Kiingereza) Encyclopaedia Britannica Caen
- (Kifaransa) Mémorial pour la Paix museum Ilihifadhiwa 1 Agosti 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Caen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |