Casper Van Dien
Casper Robert Van Dien, Jr. (amezaliwa tar. 18 Desemba 1968, mjini Ridgefield, New Jersey) ni mwigizaji filamu wa kimarekani. Anafahamika zaidi kwa jina alilotumia katika filamu ya Starship Troopers kama Luteni Johnny Rico. Pia humwita Andre kutoka katika filamu ya Watch Over Me ya katika televisheni ya My Network TV, humo alikuwa akicheza kama bodi gadi.
Casper Van Dien | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Casper Robert Van Dien, Jr. |
Alizaliwa | 18 Desemba 1968, Ridgefield, New Jersey Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji. |
Tovuti Rasmi | Casper Van Dien |
Wasifu
haririMaisha ya awali
haririCasper alikulia mjini Ridgewood, New Jersey. Mama yake ni mwalimu mstaafu wa shule za chekecha ( Kwa kiing: nursery school), na baba yake ni rubani mstaafu wa jeshi la Navy Marekani. Kuna asilimia kubwa ya familia ya Van kuwa wanajeshi. Ukiachia baba yake, babu yake alikuwa mwanajeshi wa maji wakati ule wa Vita kuu ya pili ya dunia.
Van Dien inaonyesha kuwa chimbuko la familia yake ni Wadutch waliofika miaka mingi sana na kuishi mjini New York: kwa upande mwingine anaasili ya Uswidi, Ufaransa, Uingereza na Uzawa wa kiamerika. Akiwa na umri mkubwa tu, familia yake ilirudi Florida, ambako alikuja kujiandikisha katika shule ya St. Petersburg ni moja kati ya tawi la Admiral Farragut Military Academy, hiyo ilkuwa shule ya jeshi na akahitimu cheo cha tatu katika ukomandoo.
Maisha binafsi
haririVan alimuoa Carrie Mitchum (mjukuu wa Robert Mitchum) toka mwaka 1993 hadi 1997 walivyo tarikiana. Kwa pamoja walizaa watoto wawili: Cappy (Casper Robert Mitchum Van Dien) na Gracie (Caroline Dorothy Grace Van Dien). Wakati pekee wanandoa hawa wakifanya kazi pamoja katika filamu ya James Dean: Race with Destiny, ambayo pia Robert Mitchum alishiriki, basi hapo ndiko ndoa yao ilkiuwa inakaribia ukingoni.
Van pia alicheza cheza kidogo na huyu mwigizaji Denise Richards kwa muda mfupi, wakati wanatengeneza filamu ya Starship Troopers.
Wakati wa kutengeneza filamu ya The Collectors, Van akaonana na Catherine Oxenberg. Wakaja kufanya kazi tena katika filamu ya kutisha ya kikristo iliyokuwa inajulikana kama The Omega Code. Wawili hao baadae waliona mnamo Mei mwaka 1999. Oxenberg alikuwa na mtoto mmoja wa kike aitwae India, kutoka katika ndoa yake ya kwanza. Van Dien na Oxenberg kwa sasa wana watoto wawili wa kike, Maya na Celeste.
Filamu alizoigiza
hariri- Kill Shot (1995) ... Randy
- Lethal Orbit (1996)
- Love Notes (1996) ... Adam
- Night Eyes 4 (1996) .... Roy
- Beastmaster III: The Eye of Braxus (1996) ... King Tal
- The Colony (1996)
- Night Scream (1997) ... Teddie/Ray Ordwell Jr.
- Casper: A Spirited Beginning (1997) .... Bystander
- James Dean: Race with Destiny (1998) ... James Dean
- Starship Troopers (1997) ... Johnny Rico
- Tarzan and the Lost City (1998) ... Tarzan/John Clayton
- Casper Meets Wendy (1998) ... Crewcut Man
- Modern Vampires (1998) ... Dallas
- On the Border (1998) ... Jake Barnes
- Shark Attack (1999) ... Steven McKray
- The Collectors (1999) ... A.K.
- The Omega Code (1999) ... Gillen Lane
- Thrill Seekers (1999) ... Tom Merrick
- Sleepy Hollow (1999) ... Brom Van Brunt
- Sanctimony (2000) ... Tom Merrick
- The Tracker (2000) ... Connor Spears
- Partners (2000) ... Drifter
- Python (2000) ... Bart Parker
- Cutaway (2000) ... Delmira
- Road Rage (2000) ... Jim Travis
- Windfall (2001) ... Ace Logan
- Chasing Destiny (2001) ... Bobby Moritz
- Under Heavy Fire (2001) ... Capt. Ramsey
- Danger Beneath the Sea (2001) ... Commander Miles Sheffield
- The Vector File (2002) ... Gerry
- Big Spender (2003) ... Eddie Burton
- Premonition aka The Psychic (USA title) (2004) ... Jack Barnes
- Maiden Voyage (2004) .... Kyle Considine
- Skeleton Man (2004) ... Staff Sgt. Oberron
- What the #$*! Do We (K)now!? (2004) (uncredited) .... Romantic Moritz
- Dracula 3000 (2004) ... Capt. Abraham Van Helsing
- Hollywood Flies (2005) ... Zach
Kazi za Televisheni
hariri- Menu for Murder (1990) .... Life Guard
- Dangerous Women (1991) - Brad Morris
- Freshman Dorm (1992) ... Zack Taylor
- Life Goes On (1992) - Udder Madness (episode) ... Guest Star
- The Webbers (1993) (as Casper Robert Van Dien Jr.) .... Guy * * * * Miranda brings home
- One Life to Live (1993-1994) ... Ty Moody
- Dr. Quinn, Medicine Woman (1994) - The Cattle Drive (episode) ... Jesse
- Beverly Hills, 90210 (1994) ... Griffin Stone
- Married... with Children (1994) - Blonde and Blonder (episode) ... Eric
- Silk Stalkings (1995) - I Know What Scares You (episode) ... Jeff * Chadwick
- The Outer Limits (1997) - Heart's Desire (episode) ... Jake Miller
- Titans (2000-2001) ... Chandler Williams
- Rock Me Baby (2004) - Love at First Flight (episode) ... Michael
- I Married a Princess (2005) ... Himself
- The Fallen Ones (2005) ... Matt Fletcher
- Personal Effects (2005) .... Chris Locke
- Officer Down (2005) .... Officer Philip Gammon
- The Curse of King Tut's Tomb (2006) .... Danny Freemont
- Meltdown (2006) .... Tom
- Slayer (2006) .... Hawk
- Watch Over Me (2006) ... Andre
Marejeo
hariri- http://pages.prodigy.net/ptheroff/gotha/yugoslavia.html Archived 5 Machi 2007 at the Wayback Machine.
- http://tarzan-lostcity.warnerbros.com/cmp/prod2.html Archived 27 Machi 2006 at the Wayback Machine.
- https://web.archive.org/web/20021020160725/http://www.geocities.com/tvtitans/ppl1113.html
- http://www.tribute.ca/bio.asp?id=1019
Viungo vya Nje
hariri- Casper Van Dien at the Internet Movie Database
- Casper Van Dien katika TV.com
- Casper Van Dien katika Movies.com
- Casper Van Dien's Watch Over Me profile at MyNetworkTV.com Archived 4 Julai 2007 at the Wayback Machine.
- Casper Van Dien's Official Website Archived 3 Januari 2007 at the Wayback Machine.
- Official Tarzan and the Lost City site Archived 17 Desemba 2007 at the Wayback Machine.
- CNN.com interview with Casper Van Dien Archived 24 Aprili 2006 at the Wayback Machine.
- Casper Van Dien interview at TheCinemaSource.com
- 'I Married A Princess' article in the Malibu Times Archived 5 Juni 2009 at the Wayback Machine.