Chris Tucker

Muigizaji na mcheshi wa Marekani

Christopher Tucker (amezaliwa 31 Agosti 1971) ni mwigizaji na mchekeshaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza uhusika wa Smokey kwenye filamu ya Friday na kama Mpelelezi James Carter kwenye mfululizo wa filamu za Rush Hour. Tucker amekuwa mtumbuizaji wa uchekeshaji-wima mara kwa mara kwenye Def Comedy Jam katika miaka ya 1990. Vilevile amepata kuonekana kwenye The Fifth Element ya Luc Besson, Jackie Brown ya Quentin Tarantino, Silver Linings Playbook ya David O. Russell na Money Talks.

Chris Tucker
Tucker in March 2012
Jina la kuzaliwaChristopher Tucker
AmezaliwaAgosti 31 1971 (1971-08-31) (umri 53)[1]
Atlanta, Georgia, Marekani
AinaBlue comedy, black comedy, insult comedy, observational comedy
NdoaBi. Matthews mwalimu katika shule ya SMAMS
WavutiOfficial website

Filmografia

hariri

Filamu

hariri
Mwaka Jina Uhusika Maelezo
1993 The Meteor Man MC in Hall
1994 House Party 3 Johnny Booze
1995 Friday Smokey Nominated – MTV Movie Award for Best Comedic Performance
Nominated – MTV Movie Award for Best Breakthrough Performance
Nominated – MTV Movie Award for Best On-Screen Duo (with Ice Cube)
Panther Bodyguard
Dead Presidents Rick Calderon
1997 Money Talks Franklin Hatchett Nominated – Razzie Award for Worst New Star
The Fifth Element Ruby Rhod
Jackie Brown Beaumont Livingston
1998 Rush Hour Detective James Carter Blockbuster Entertainment Award for Favorite Duo – Action/Adventure (with Jackie Chan)
MTV Movie Award for Best On-Screen Duo (with Jackie Chan)
Nominated – Image Awards for Outstanding Lead Actor in a Motion Picture
Nominated – Kids Choice Awards for Favorite Movie Actor
Nominated – MTV Movie Award for Best Comedic Performance
Nominated – MTV Movie Award for MTV Movie Award Best Fight (with Jackie Chan)
2001 Rush Hour 2 Kids Choice Awards for Favorite Movie Actor
MTV Movie Award for Best Fight (with Jackie Chan)
Nominated – MTV Movie Award for Best Comedic Performance
2007 Rush Hour 3 Nominated – MTV Movie Award for Best Fight (with Jackie Chan and Sun Mingming)
2012 Silver Linings Playbook Danny McDaniels Broadcast Film Critics Association Award for Best Cast
Nominated – Screen Actors Guild Award for Outstanding Performance by a Cast in a Motion Picture
2015 Chris Tucker – Live Chris Tucker Netflix Exclusive Standup Special[3]
2016 Billy Lynn's Long Halftime Walk Albert

Televisheni

hariri
Mwaka Jina Uhusika Maelezo
1992 Hangin' with Mr. Cooper Rapper
Def Comedy Jam Himself 2 episodes
2001 Michael Jackson: 30th Anniversary Special Guest
Diary
2006 African American Lives

Video za muziki

hariri
Mwaka Jina Msanii Uhusika
1994 "Nuttin' But Love" Heavy D & the Boyz Pimp
1995 "California Love" Tupac Shakur featuring Dr. Dre & Roger Troutman Guest
1997 "Feel So Good" Mase Guest
2001 "You Rock My World" Michael Jackson Gangster
2005 "Shake It Off" Mariah Carey Car passenger

Marejeo

hariri
  1. "ChrisTucker.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-25. Iliwekwa mnamo 2017-08-22.
  2. 2.0 2.1 Chris Tucker – Movie and Film Biography and Filmography – AllRovi.com Archived Aprili 14, 2011, at the Wayback Machine. Allmovie.com. Retrieved on October 19, 2011.
  3. "Chris Tucker Live".

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chris Tucker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
Done 1