Cicely Ridley

Mtaalamu wa hesabu na hali ya hewa wa Uingereza-Amerika

Elizabeth Cicely Ridley (tarehe 26 Septemba 1927 - 23 Desemba 2008[1]) alikuwa mwanahisabati wa Uingereza na Marekani anayejulikana kwa kazi yake katika kemia ya hali ya hewa. Akishilikiana na Roble-Dickinson ambapo walifanikiwa kuanzisha shirika la kitaifa linalo usiana na uchunguzi wa Hali ya hewa.

Marejeo

hariri
  1. Daily Camera | (2009-08-19). "Elizabeth Ridley, Boulder, CO". Boulder Daily Camera (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-05-31.
  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cicely Ridley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES