Don ni mto muhimu wa Urusi; una urefu wa kilometa 1,870.

Mto Don katika Voronezh Oblast.
Ramani ya beseni la mto Don

Chanzo chake kipo kwenye mji wa Novomoskovsk upande wa kusini mashariki wa Moskva.

Unaendelea kati ya mito Dnepr na Volga hadi kuishia katika Bahari ya Azov ambayo ni sehemu ya Bahari Nyeusi.

Mji mkubwa kando yake ni Rostov karibu na mdomo wake.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Don kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES