Eneo bunge la Lagdera
Eneo bunge la Lagdera ni mojawapo ya Majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Garissa, Kaskazini Mashariki mwa nchi. Lina wodi kumi, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Garissa County.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Slan Ahmed Nuno | KANU | mfumo wa chama Kimoja |
1992 | Farah Maalim | KANU | |
1997 | Mohamed Mukhtar Shidiye | KANU | |
2002 | Abdillahi Sheikh Dahir | KANU | |
2007 | Farah Maalim | ODM |
Wodi
haririWodi | |
Wodi | Wapiga Kura waliojiandikisha |
---|---|
Abakaile | 1,086 |
Alango-Arba | 1,486 |
Benane | 2,921 |
Dadaab | 3,262 |
Dagahaley | 1,316 |
Damajale | 1,290 |
Garufa | 1,171 |
Goreale | 1,325 |
Liboi | 3,085 |
Modogashe | 4,112 |
Jumla | 21,054 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Lagdera kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |