Filipo wa Agira (Balkani, 402 hivi - Agira, Sicilia, leo nchini Italia, 465 hivi), alikuwa padri kutoka Ulaya Kusini Mashariki, aliyefika Roma akatumwa na Papa kama mmisionari katika kisiwa cha Sicilia alipofanya kazi kubwa hadi kifo chake[1].

Sanamu ya Mt. Filipo ikitembezwa huko Limina.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Mei[2][3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91317
  2. Martyrologium Romanum
  3. (Kigiriki) Ὁ Ἅγιος Φίλιππος ὁ Ἱερομάρτυρας ὁ Ἀργύριος. 12 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.

Marejeo

hariri
  • Filippo Maria Provitina, Vita del Taumaturgo san filippo D'Agira, ed. SPES, Palermo 1986;
  • Filippo Maria Provitina, San Filippo il Grande (d'Agira): teatro in tre atti, ed. Kefagrafica, Palermo 1990;
  • Filippo Maria Provitina, Ventitré chiese di San Filippo d'Agira, ed. Kefagrafica, Palermo 1991;
  • Filippo Maria Provitina, Storia di Agira e del suo Santo, ed. ElfilGrafiche, Palermo 1999;
  • Filippo Maria Provitina, Storia universale di Agira e del suo Santo, ed. Abbadessa, Palermo 2006.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
  NODES