Fruto (pia: Fructus, Fructos, Frutos, Fruitos; Segovia, Hispania, 642 hivi - Carrascal del Rio, 715) alikuwa Mkristo tajiri[1] ambaye, baada ya kuwagawia maskini mali zake, aliishi kama mkaapweke katika pango juu ya mwamba uliojitokeza gengeni[2].

Sanamu ya Mt. Fruto.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Oktoba[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Diego de Colmenares, Historia de la Insigne Ciudad de Segovia y Compendio de las Historias de Castilla, cap. X/II.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/75030
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92332
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  • Cortón de las Heras, M.ª Teresa (1991): San Frutos, Patrón de la Diócesis de Segovia, En la Catedral; Cuadernos de arte e iconografía / Tomo IV - 7. 1991
  • Colmenares Diego. de, Historia de la Insigne Ciudad de Segovia y Compendio de las Historias de Castilla, Cap. X/II (Edición de la Academia de Historia y Arte de San Quirce. Segovia, 1969).

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
  NODES