Hifadhi ya Taifa ya Bandingilo
Hifadhi ya Taifa ya Bandingilo, iko katika eneo la Ikweta nchini Sudan Kusini . Hifadhi hii inajumuisha majimbo ya zamani ya Ikweta ya Kati na Ikweta ya Mashariki . Ilianzishwa mwaka 1992. [1] Iko katika eneo lenye miti karibu na Mto White Nile, na ina zaidi ya kilomita za mraba 10,000 kwa ukubwa. [2]
Bandingilo National Park | |
IUCN Jamii II (Hifadhi ya Taifa) | |
Mahali | Equatoria, South Sudan |
---|---|
Nearest city | Juba |
Eneo | km2 10 000 (sq mi 3 900) |
Kuanzishwa | 1992 |
Marejeo
hariri- ↑ "National Parks of Sudan". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-04-23. Iliwekwa mnamo 2011-07-23.
- ↑ "South Sudan's wild hope for the future", 8 July 2011. Retrieved on 22 July 2011.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Bandingilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |