I Lay My Love on You

"I Lay My Love on You" ni moja kati ya nyimbo zilizoimbwa na kundi la Westlife, wimbo huu ulitoka rasmi mwaka 2001, katika nchi za Australia, Kusinimashariki mwa bara la Asia na katika bara la Uropa isipokuwa katika nchi za Uingereza na Ieland.

“I Lay My Love on You”
“I Lay My Love on You” cover
Single ya Westlife
kutoka katika albamu ya Coast to Coast
Imetolewa 3 Machi 2001 (Australia)
Muundo CD single
Aina Latin Pop
Studio Sony BMG
Mtunzi Jörgen Elofsson
Mwenendo wa single za Westlife
"I Lay My Love on You"
(2001)
(9)
"Uptown Girl"
(2001)
(10)

Mapokezi

hariri

Wimbo huu, ulishika nafasi ya kwanza katika chati ya Televisheni ya MTV na kuufanya wimbo huu kuwa wimbo wa nne katika nyimbo za Westlife kuwahi kufikia nafasi ya kwanza katika chati hiyo ya muziki

Kundi hili la Westlife pia limetengeneza wimbo huu huu katika lugha ya Kihispania unaitwa, "En Ti Deje Mi Amor" ambao ulitoka kama single katika nchi zinazozungumza lugha ya Kihispania.

Mtiririko wa Nyimbo

hariri
  1. I Lay My Love On You (Single Remix) - 3:29
  2. Dreams Come True - 3:07
  3. My Love (Radio Edit) - 3:52
  4. Nothing is Impossible - 3:15
Chart Ulipata
nafasi
Chati ya single ya Australian 29
Chati ya nchini Ubelgiji 35
Chati ya nchini New Zealand 24
Chati ya nchini Swedish 10
Chati ya nchini Uswis 39

Viunga vya Nje

hariri
  NODES
chat 9