Isiro
mji katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mji mkuu wa mkoa wa Haut-Uele
Isiro ni mji mkuu wa mkoa wa Uele Juu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 147,524.
Isiro | |
Mahali pa mji wa Isiro katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
|
Majiranukta: 2°52′0″N 27°40′0″E / 2.86667°N 27.66667°E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Mkoa | Uele Juu |
Wilaya | Isiro |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 147,524 |
Tazama pia
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Isiro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |