James Rufus Agee (27 Novemba 190916 Mei 1955) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1958, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi, yaani baada ya kifo chake tu, kwa riwaya yake A Death in the Family.

Faili:James Agee 1937.jpg
James Agee, 1937
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Agee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES