Jeremiah Solomon Sumari

Jeremiah Solomon Sumari (2 Machi, 1943 hadi 19 Januari, 2012) alikuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki (Akheri) katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Mengi kuhusu Jeremiah Solomon Sumari". 13 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-25. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
  NODES