Jimbo la Jubek ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.

Jubek State
Mahali paJubek State
Mahali paJubek State
Mahali pa Jubek katika Sudan Kusini
Nchi Sudan Kusini
Makao makuu Juba
Idadi ya kaunti 14
Idadi ya manispaa
Serikali
 - Gavana Augustino Jadalla Wani
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014)
 - Wakazi kwa ujumla 492,970
Jimbo la Jubek, Sudan Kusini

Imegawanyika katika kaunti 14: Lodu County, Luri County, Mangala County, Gondokoro County, Rejaf County, Wonduruba County, Lobonok County, Bungu County, Ganji County (Ganzi County), Dollo County, Rokon County, Lyria County na Oponi County.

Tanbihi

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jubek (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES