Kaa ni neno la kiswahili ambalo lina maana zaidi ya moja na linaweza kumaanisha:
Kaa (Mnyama mwenye magamba) ni aina ya mnyama ambaye yupo katika kundi la krasteshia anayeishi baharini na ana jozi tano za miguu.
Kaa (Kitenzi) ni moja ya kitenzi kinachoashiria namna ya kupumzika kwenye kiti badala ya kulala wala kusimama.
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana
Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.