Kifang-Wum ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wafang-Wum. Isichanganywe na Kifang kizungumzwacho nchini Kamerun pia. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kifang-Wum imehesabiwa kuwa watu 2400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifang-Wum iko katika kundi la Kibeboidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifang-Wum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES