Kiganda (lugha)

(Elekezwa kutoka Kiganda)

Kiganda (pia Luganda) ni lugha ya Kibantu nchini Uganda inayozungumzwa na Waganda. Mwaka wa 2002 idadi ya wazungumzaji wa Kiganda imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni nne.

Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiganda kiko katika kundi la J10.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiganda (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES