Kimalayalam ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi na Singapur inayozungumzwa na Wamalayalam. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimalayalam nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu milioni 33. Pia kuna wasemaji 26,300 nchini Singapur. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalayalam iko katika kundi lake lenyewe la Kimalayalam.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalayalam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES