Kisiwa cha Malelema

Kisiwa cha Malelema ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Ukerewe, mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania.

Kuna Malelema Kubwa na Malelema Ndogo.

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Malelema kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
  NODES