Kitabu cha Obadia
Kitabu cha Obadia ni kifupi kuliko vyote vya Tanakh (yaani Biblia ya Kiebrania), na vya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo.
Ni cha nne kati ya vitabu 12 vya Manabii Wadogo.
Ni ukurasa mmoja tu wenye aya 21 ulioandikwa na nabii Obadia katika karne VI K.K. dhidi ya Waedomu waliofurahia uhamisho wa ndugu zao Wayahudi waliopelekwa Babuloni mwanzoni mwa karne hiyo.
Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.
Viungo vya nje
hariri- Masoretic text Ilihifadhiwa 5 Agosti 2011 kwenye Wayback Machine. from Mechon Mamre Ilihifadhiwa 7 Agosti 2011 kwenye Wayback Machine.
- Ufafanuzi:
- Ovadiah (Judaica Press) translation [with Rashi's commentary] from Chabad.org
- Obadiah Ilihifadhiwa 28 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine., from John Gill's Exposition of the Entire Bible.
- Obadiah Ilihifadhiwa 8 Juni 2007 kwenye Wayback Machine., from the United Church of God, an International Association Bible Reading Program - This Hebrew scholar provides extensive background information as well as verse-by-verse exposition]
- Kretzmann's Popular Commentary of the Bible (navigate to Obadiah using the menu on the left)
- Obadiah: The Lord Will Have His Day Ilihifadhiwa 26 Januari 2012 kwenye Wayback Machine. by Jonathan Kuske
Mwanzo * Kutoka * Walawi * Hesabu * Kumbukumbu * Yoshua * Waamuzi * Ruthu * Samueli I * Samueli II * Wafalme I * Wafalme II * Mambo ya Nyakati I * Mambo ya Nyakati II * Ezra * Nehemia * TobitiDK * YudithiDK * Esta * Wamakabayo IDK * Wamakabayo IIDK * Yobu * Zaburi * Methali * Mhubiri * Hekima DK * SiraDK * Wimbo Bora * Isaya * Yeremia * Maombolezo * BarukuDK * Ezekieli * Danieli * Hosea * Yoeli * Amosi * Obadia * Yona * Mika * Nahumu * Habakuki * Sefania * Hagai * Zekaria * Malaki
Alama ya DK inaonyesha vitabu vya deuterokanoni visivyopatikana katika matoleo yote ya Biblia.
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitabu cha Obadia kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |