Kiwandji ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wawandji. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiwandji imehesabiwa kuwa watu 10,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiwandji iko katika kundi la B50.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwandji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES