Luena ni mji uliopo mashariki mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Moxico. Ndio makao makuu ya mkoa huo.

Mwaka 2014 idadi ya watu ilikuwa 357,413[1].

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Luena kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES