Magofu ya Kichokochwe

Magofu ya Kichokochwe (Magofu ya mji wa kale wa Kichokochwe) ni magofu yanayopatikana katika maeneo ya kihistoria yaliyohifadhiwa ndani ya wilaya ya Wete iliyopo Mkoa wa Pemba Kaskazini nchini Tanzania.

Maeneo haya ni sehemu ya mabaki ya makazi ya Waswahili yakiwa na majengo kama Msikiti pamoja na Makaburi.[1][2]

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. Schacht, J. (1961). "Further Notes on the Staircase Minaret". Ars Orientalis. 4: 137–141. ISSN 0571-1371.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2022-07-25. Iliwekwa mnamo 2022-08-12.
  NODES
Note 1