Malindi Sport Club ni klabu ya soka ya Zanzibar yenye maskani yake mjini Unguja. Ilianzishwa 1942, Kwa miaka mingi walitawala Tanzania, kama mabingwa wa mashindano ya Zanzibar na Tanzania ya kikanda. Na kuanzia mwaka 1989 hadi 1992. Baada ya kutwaa mataji mengi ya kitaifa na kikanda, timu hiyo ilianza kucheza Ligi Kuu ya Zanzibar mwaka 2004 Zanzibar ilipopata kuwa mwanachama huru wa CAF, hivyo wanaiwakilisha Zanzibar katika michuano ya klabu bingwa barani

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Malindi S.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES