Mandy ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Mia Kirshner.

Mandy
muhusika wa 24

Mia Kirshner as Mandy
Imechezwa na Mia Kirshner
Idadi ya sehemu 7
HaliYu hai
Misimu
1, 2, 4
Mionekano Mingine24: The Game
Maelezo

Yeye ni gaidi na mtaalamu wa kuua, pia anafahamika kuwa gaidi pekee anayeishi muda mrefu kuliko magaidi wote wa mfululizo huu. Mwisho mwa Msimu wa 4 (ndiyo mara yake ya mwisho kuonekana).

Viungo vya Nje

hariri
  NODES