Mkoa wa Kırşehir


Mkoa wa Kırşehir ni mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki, unaunda kuwa kama moja kati ya sehemu za kanda ya Anatolia ya kati. Upo mita 985 kutoka juu ya usawa wa bahari. Mji mkuu wake ni Kırşehir.

Mkoa wa Kırşehir
Maeneo ya Mkoa wa Kırşehir nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Kati
Eneo: 6,570 (km²)
Idadi ya Wakazi 238,807 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 40
Kodi ya eneo: 0386
Tovuti ya Gavana http://www.kırşehir.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/kırşehir

Wilaya za mkaoni hapa

hariri

Kırşehir province is divided into 7 districts (capital district in bold):

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kırşehir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES