Mkoa wa Magharibi (Uganda)

mkoa wa Uganda

Mkoa wa Magharibi (kwa Kiingereza: Western Region) ni kati ya mikoa minne ya Uganda.

Ramani.
Wilaya za Uganda; mkoa wa Magharibi una rangi ya buluu.

Kwa sasa linaundwa na wilaya 26.

Makao makuu yako Mbarara.

Wakazi ni 8,874,862.

Marejeo

hariri


  NODES