Mto Morogoro
Mto Morogoro unapatikana katika Mkoa wa Morogoro na ndio ulioupa mji ulio makao makuu ya mkoa (pamoja na mkoa mzima) jina lake.
Inasemekana jina hilo limetokana na sauti ya maji yake katika kutiririka. Lakini wengine wanasema linatokana na upotoshaji wa jina la mwenyeji wa eneo lake, Muruguru (Mluguru).
Maji ya mto huo, unaopitia katikati ya mji wa Morogoro, yanaishia Bahari Hindi kupitia mto Ngerengere na mto Ruvu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Morogoro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |