' Mtumjiaji huyu amefariki..
Hakuna haja ya kurudi tena hapo baadaye.


"Hakuna mwisho wa kutunga vitabu, na kusoma sana huuchosha mwili" Kitabu cha Mhubiri 12,12

Lugha
de Mtumiaji huyu anatumia Kijerumani kama lugha yake ya kwanza.
sw-3 Mtumiaji huyu anaweza kushiriki kwa Kiswahili cha kiwango cha juu.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.
fa-1 دانش فارسی این کاربر درسطح

مبتدی است.

fr-2 Cet utilisateur peut contribuer avec un niveau moyen en français.
la-1 Hic usor simplici latinitate contribuere potest.
nl-1 Deze gebruiker bezit elementaire kennis van het Nederlands.
it-1 Questo utente può contribuire con un livello semplice di Italiano.
nds-1 Disse Bruker snackt ’n beten Plattdüütsch.
Mtumiaji huyu ni Mkabidhi katika Wikipedia ya Kiswahili. (hakikisha)
Bureaucrat Mtumiaji huyu ni Bureaucrat katika Wikipedia ya Kiswahili.
' Mtumjiaji huyu amefariki..
Hakuna haja ya kurudi tena hapo baadaye.

Nina nywele lakini nimependa jina hili la Kipala. Nikiwa Mjerumani nimekaa miaka mingi Tanzania na Kenya. Hata nikihofia ya kwamba nimeanza kutumia Kiswahili cha Nairobi hapo na pale bado naona nitoe shukrani zangu kwa Afrika ya Mashariki kwa njia ya kusaidia kujenga Wikipedia ya Kiswahili.

Basi jamani, kuna kazi, twendeni!

Mwaka 2018 Kipala amerudi Tanzania kwa miaka kadhaa akifurahia kushirikiana na wanawikipedia wenzake waliopo Afrika!


Michango yangu kwenye mikutano ya Wikipedia kimataifa

Naomba andika michango au maswali yote kwenye ukurasa wangu wa majadiliano.

Ongeza chako chini ya michango mingine.

Mazungumzo ya awali kwenye ukurasa huu umehamishwa kwenda: /Archive 1

Karibuni kuchangia katika orodha hii ya makala 100 ya kimsingi Majadiliano ya mtumiaji:Kipala/makala 100!!


Kurasa za majaribio: /kigezo:Visiwa; /kisiwa jaribio; /Trial Cote

  NODES