Ndesanjo
Lugha | ||
---|---|---|
|
Ninaitwa Ndesanjo, ninaishi sehemu mbalimbali. Ninapenda kuendeleza na kutangaza lugha ya Kiswahili.
Karibuni tushirikiane kuunda kamusi elezo yetu ya Kiswahili.
Ndesanjo, hujambo? Hongera na makala mapya ya alf lela.. Nimeongeza maneno mawili kuhusu Bgahdadi - wakati wa kukusanyika kwa hadithi hizi ilikuwa makao makuu ya Khalifa na hivyo kituvo cha Uislamu duniani. Kipala
Habari za mwaka mpya! Ninashukuru kunimbusha nilipokosea ahsante, --Joel Niganile 09:26, 11 Januari 2006 (UTC)Joel Niganile
== Simba Wanyika ==/Users/ndesanjomacha/Desktop/Ticket to Blantyre.webarchive
Ndesanjo, hujambo? asante kwa makala zako kuhusu muziki. Hawa jamaa wana picha zao mtandaoni (Google-picha-simba wanyika) - sijui ni usumbufu sana ukijaribu kupata kibali cha watu wa http://www.afropop.org kwa ajili ya matumizi ya picha zao? Halafu kuna sampuli ya musiki yao mtandaoni ila tu sina uhakika namna ya kuiingiza kwenye ukurasa: http://thephatplanet.com/music/kmlncd01.mp3 --Kipala 21:14, 19 Machi 2006 (UTC)
Nimeweka wimbo mmoja wa Simba Wanyika, Shilingi Maua. Ngoja nitazame hizo nyingine. Halafu nitajaribu kuomba ruhusa ya kutumia picha za jamaa wa Afropop. Nadhani hawatakuwa na sababu za kukataa. --Ndesanjo 19 Machi 2006
Ndesanjo, Habari gani? Hongera kwa makala yako ya Simba wa nyika kwakweli inavutia. Ahsante, --Joel Niganile 15:01, 22 Machi 2006 (UTC)Joel Niganile
Asante Joel. --Ndesanjo
- Safi sana Simba Wanyika! Nimeshasikia mara kadhaa!! Asante Ndesanjo!!! --Kipala 22:17, 25 Machi 2006 (UTC)
Congratutalions, and some questions
haririHi Ndesanjo. I hope you understand English. Congratulations with the 1000 articles in Swahili! It's just great! It's probably the first encyclopedia in an original African language with more than 1000 articles, or?
I have been involved in Wikipedias in several other African languages, such as Bambara. I will be speaking about the Wikipedias I have been involved in. And I would be grateful if you could answer some questions. Also, any other remarks are welcome.
1. Where are you from? Where did you learn Swahili? 2. When did you hear about Wikipedia? And when about the Swahili Wikipedia? When did you start to contribute? 3. What do you think about the future of this project?
thanks, Guaka 20:38, 3 Agosti 2006 (UTC)
Mchangiaji Mwenzako nina Maoni na Maswali Yangu naomba ujibu
haririKwanini ulifuta makala ya Hip Hop ya Bongo ? kwa mtazamo wako umeona ina makosa sasa kama inamakosa si kuirekebisha tu ndo ufute manake nini?. sasa hapo tunaongeza makala au tunapunguza maana ilikuwa haina haja ya kuifuta au kwakuwa wewe upo makao makuu ya Wikipedia ndomana unatunyanyasa sie wengine ambao hatupo huko sio vizuri bwana kama uliona nimewasifia sana wale nako 2 nako ilikuwa uongeze wasanii wengine tofauti ili mradi kufanya makala kuapanuka an isilenge mtu yeyote yule na sio kufuta mimi binafsi hata juhudi zangu za kuandika makala nyingi zaidi zitagonga mwamba manake mimi sina makala moja tu zipo nyingi kwaiyo huwa na hariri moja moja kisha siku ya pili nazipitia zote wapi nimekosea narekebisha sasa wewe umetoka huko una kurupuka tu unafuta m,,manke nini. sio vizuri mzee wangu inabidi unapooma kasolo unarekebisha na sio kufuta nadhani umenipata mzee manake mimi bado mpya katika uuandaaji wa makala sasa ukinifutia sitoendelea kuandika makala nyingi zaidi hii free encyclopedia kila mtu amaweza kuhariri sasa basi tushirikianae kama ilivyo andikwa kwenye ukurasa wa Mwanzo. ni hayo tu mzee sina mengi unaweza kuwasiliana ma mimi kwa kutumia E-mail Address ya Maendeleotz@yahoo.com, mikito45@yahoo.com. na mimi pia na changia makala hivyo tusaidiane na sio kufutiana makala sawa Bwana Ndesanjo
Video!
haririStart @ 8:15 + 22:20 :) Sj (majadiliano)
Mkabidhi mpya. pendekezo
haririNaomba angalia hapa [[1]]. Kipala (majadiliano) 21:36, 30 Oktoba 2018 (UTC)
KWC | Mtumiaji huyu ni mshiriki (ind.) katika Shindano la WP ya Kiswahili la 2009. (Submissions) |