"My Love" ni moja wa wimbo wa Westlife, ulitolewa kama singo kutoka katika albamu yao ya Coast to Coast.

“My Love”
“My Love” cover
Single ya Westlife
Muundo CD Single
Aina Pop
Mtunzi Jörgen Elofsson, Per Magnusson, David Kreuger

Wimbo wa 'My love' ndio ulikuwa wimbo wa saba kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya Muziki ya uingereza. Wimbo huo ulishika nafasi ya thelathini na tano katika nyimbo zilizoongoza kwa mauzo kwa mwaka 2000, nchini Uingereza.

Mpangilio wa Nyimbo

hariri

CD Ya Kwanza

hariri
  1. My Love (Radio Edit) - 3:52
  2. If I Let You Go (USA Mix) - 3:40
  3. Enhanced Section

CDm Ya Pili

hariri
  1. My Love (Radio Edit) - 3:52
  2. My Love (Instrumental) - 3:52
  3. Enhanced Section (Including "My Love" Video)

Nyimbo za Video

hariri

kwa upande wa video ya wimbo huu. Wimbo unaanza wakiwa katika Stesheni ya reli, ambapo, Nicky Byrne anawataarifu wenzake kuwa, ndege yao iliyokuwa inafuatia imeahirishwa. Wenzake wanakasirika kutokana na habari hiyo, ambapo Bryan anasema kuwa, yeye anaenda nyumbani. Wengine wanamfuata na ndipo wimbo unaanza.

Shairi la kwanza linafanyika ndani ya uwanja wa ndege, na wakati wa kiitikio, mandhari inabadilika na kuwa eneo la mjini. Baada ya kiitikio cha kwanza kumailizika, mandhari inabadilika tena na kuwa katika eneo la barabara kubwa. Halafu tena katika Kiitikio cha pili, mandhari inabadilika na kuwa katika eneo la pwani. Halikadhalika katika kiitikio cha mwisho kundi hilo la Westlife, wanaimba wakiwa katika kilele wakionesha bahari pembeni mwa barabara kubwa.

Mtiririko wa Nyimbo

hariri
Chati Ulipata
Nafasi
Argentine Nafasi ya singo 1
Australian Singles Chart 36
Belgian Singles Chart 6
Irish Singles Chart 1
Netherlands Singles Chart 9
New Zealand Singles Chart 3
Norwegian Singles Chart 3
Swedish Singles Chart 1
Swiss Singles Chart 38
UK Singles Chart 1

Viunga vya Nje

hariri
Alitanguliwa na
"Holler" by Spice Girls
UK number-one single
5 Novemba 2000 - 12 Novemba 2000
Akafuatiwa na
"Same Old Brand New You" by a1
  NODES
chat 2