Niau ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kusini-magharibi wa kisiwa cha Toau. Eneo la kisiwa ni 20 km². Kijiji cha pekee kisiwani huitwa Tupana. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 226. Watu wakaao kisiwani kwa Niau huongea Kituamotu na Kitahiti.

Kisiwa cha Niau
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

  NODES