17 Novemba

tarehe
(Elekezwa kutoka Novemba 17)
Okt - Novemba - Des
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 17 Novemba ni siku ya 321 ya mwaka (ya 322 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 44.

Matukio

hariri

Waliozaliwa

hariri

Waliofariki

hariri

Sikukuu

hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Elizabeti wa Hungaria, Gregori mtendamiujiza, Alfayo na Zakayo, Asisklo, Aniani wa Orleans, Namasi wa Vienne, Gregori wa Tours, Hilda wa Whitby, Florino, Lazaro wa Konstantinopoli, Hugo wa Novara, Hugo wa Lincoln, Yohane wa Castillo, Jordano Ansalone, Thoma Hioji n.k.

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 17 Novemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES