Citeaux

(Elekezwa kutoka O.Cist.)


Citeaux ni abasia (kwa Kifaransa: Abbaye de Cîteaux) ya Kanisa Katoliki huko Saint-Nicolas-lès-Cîteaux, kusini kwa Dijon, Ufaransa. Ni maarufu kama chanzo (1098) cha urekebisho wa umonaki wa Kibenedikto ulioenea haraka kila mahali katika karne ya 12, hasa kutokana na mvuto wa mwanashirika Bernardo wa Clairvaux.

Abasia ya Citeaux.

Hata hivyo waanzilishi wake walikuwa Robati wa Molesme, Stefano Harding na Alberiko wa Citeaux.

Siku hizi inakaliwa na Watrapisti (ufupisho wa jina la Kilatini la shirika lao ni OCSO, Ordo Cistercensium Strictae Observantiae) wasiopungua 35.

Wasitoo wengine wanaunda shirikisho la O.Cist..

Marejeo

hariri
  • Plouvier, M. and Saint-Denis, A. (eds.), 1998: Pour une histoire monumentale de Cîteaux, 1098-1998 (Commentarii cistercienses. Studia et documenta, 8), Cîteaux.

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

47°07′41″N 5°05′36″E / 47.12806°N 5.09333°E / 47.12806; 5.09333

  Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Citeaux kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES
mac 3