Oran
Oran (kwa Kiarabu: وَهران, Wahrān) ni mji muhimu wa pwani kaskazini-magharibi mwa Algeria.
Ndio wa pili nchini baada ya mji mkuu Algiers kwa biashara, viwanda na elimu.
Wakazi walihesabiwa kuwa 759,645 mwaka 2008,[1] lakini jiji lote linakadiriwa kuwa na watu 1,500,000[2][3].
Tanbihi
hariri- ↑ "The provinces of Algeria and all cities of over 25,000 inhabitants". Citypopulation.de. Iliwekwa mnamo 2008-04-14.
- ↑ Messahel, Abdellah (1 Juni 2008). "Une périurbanisation officielle dans un site contraignant". Espace populations sociétés. Space populations societies (2008/1): 89–99. doi:10.4000/eps.2408. Iliwekwa mnamo 23 Juni 2018.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ About Oran Ilihifadhiwa 29 Januari 2008 kwenye Wayback Machine.—from the city's website.
Viungo vya nje
haririOran travel guide kutoka Wikisafiri
Wikisource has the text of the 1911 Encyclopædia Britannica article Oran. |
- EasyOran—(Kifaransa) The Oran electronic guide
- Visit Oran—Voted in 2007 as "Oran's best website" by the ministry of culture and Panoramic Tours. Mostly dedicated to tourism. Features photo galleries, short films, news, city guides & information, hotel info & reservation forms, forum...
- Oran's Community FORUM—The Community Discussion Forum for Oran and tourism.
- (Kiingereza) Audio interview with Oran resident about life in Oran.
- Oran MAPS Ilihifadhiwa 10 Oktoba 2018 kwenye Wayback Machine.—Detailed maps of the Oran Region and City.
- (Kifaransa) Oran-dz Ilihifadhiwa 21 Januari 2022 kwenye Wayback Machine.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Oran kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |