Pembe
Pembe ni neno la kutaja:
- katika hisabati ama
- kona au ncha ya nje ya umbo kama pembetatu, pembenyingi
- nafasi kati ya mistari miwili pale ambako inakutana taz. pembe (jiometria)
- Pembe (anatomia) - katika biolojia kwa baragumu ya mnyama kama ng'ombe, pia ndovu ya tembo.
- upande wa eneo au mahali; hivyo: pembeni = kando la