PlayStation 3 (PS3) ni tawi la PSP liliyoandaliwa na Sony Computer Entertainment.PlayStation 3 ilitolewa baada ya PlayStation 2. PlayStation 3 iliyotolewa Novemba 11 2006, Japan,pia Novemba 17 2006, Amerika ya Kaskazini na Machi 23 2007, Ulaya na Australia.Baadhi ya michezo katika PlayStation 3 ni PES 2018, Grand Theft Auto 5, Mortal kombat komplete Edition, Call of duty 3, call of duty 4 na mengineyo.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu PlayStation 3 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES