Queen of My Heart
"Queen of My Heart", Ni wimbo halisi kutoka kwa kundi la Irish kundi la wavulana la Westlife, wimbo huu ulitoka kama single iliyoongoza katika albamu yao ya World of Our Own mwaka 2001. Wimbo huu ulikuwa wimbo wa tisa kutoka kwa kundi hili kuwahi kufika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya Uingereza.
“Queen Of My Heart” | ||
---|---|---|
Single ya Westlife | ||
Muundo | Pop | |
Urefu | 3:56 | |
Mtunzi | John McLaughlin, Wayne Hector, Steve Mac and Steve Robson | |
Certification | Silver (UK), Gold (SWE) |
Wimbo huu ulitungwa na John McLaughlin, Wayne Hector, Steve Mac na Steve Robson.
Moja kati ya wanakikundi wa kundi hili Kian Egan alikuwa tayari amshapata wasiwasi juu ya ji a la wimbo huu na kusema kuwa kama wangebadilisha jina la wimbo huu, na kuuita "Angel" Ungeweza kutangaza albamu hiyo zaidi kuliko jina la Queen Of My Heart.
Kwa hali hiyo, wimbo huu umekuwa ukiimbwa moja kwa moja mara chache sana, lakini bado unabakia kuwa moja ya single zilizowahi kupata mafanikio zaidi katika nyimbo za Westlife.
Wimbo huu ulifanikiwa kushika nafasi ya 23 katika single zilizoongoza katika mauzo kwa mwaka 2001 nchini Uingereza, na kuwez kuuza nakala zaidi ya 200,000 nchini Uingereza.
Orodha ya Nyimbo
haririCD ya kwanza
hariri- "Queen of My Heart" (Radio Edit)
- "When You're Looking Like That" (Single Remix)
- "Reason for Living"
- "When You're Looking Like That" (Video)
CD ya pili
hariri- "Queen of My Heart" (Radio Edit)
- "When You're Looking Like That" (Single Remix)
- "Interview Cd Rom"
Muziki ya video
haririVideo inaonesha kundi la Westlife wakiwa katika ngome, wakati Shane naKian iwakiwa katika chumba kimoja Mark na Nicky wakiwa katika chumba kingine na Brian wakiwa wamekaa peke yao katika ngazi. Wakati video inapoanza Nicky anaonekana akiwa ananyoa nywele zake, na kupata mwonekano wa David Bekham, hadi mwisho mwa video hii ambapo mashabiki wanajiunga nao hadi mwishi wa video.
Orodha ya Matamasha
haririChati | Ulipata nafasi |
---|---|
Austrian Singles Chart | 33 |
Belgian Singles Chart | 14 |
Danish Singles Chart | 15 |
Irish Singles Chart | 1 |
Italian Singles Chart | 28 |
Netherlands Singles Chart | 12 |
New Zealand Singles Chart | 4 |
Romanian Singles Chart[1] | 24 |
Swedish Singles Chart | 3 |
Swiss Singles Chart | 37 |
UK Singles Chart | 1 |
UK Radio Airplay Chart | 17 |
Note: AThe song peaked at #2 also in Germany's VIVA Lesercharts.
Marejeo
hariri- ↑ [<http://www.rt100.ro/top-100-edition.html?edition=315&go=Go Ilihifadhiwa 26 Julai 2009 kwenye Wayback Machine. Romanian Top 100]
Viunga vya Nje
haririMakala 2000s song-related bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |