San Diego, California

San Diego (yaani Mtakatifu Diego) ni mji mkubwa wa pili katika jimbo la California baada ya Los Angeles, na wa saba katika nchi nzima ya Marekani. Uko upande wa kusini-magharibi ya nchi.

Mji wa San Diego, California






Jiji la San Diego

Bendera
Jiji la San Diego is located in Marekani
Jiji la San Diego
Jiji la San Diego

Mahali pa mji wa San Diego katika Marekani

Majiranukta: 32°42′54″N 117°09′45″W / 32.71500°N 117.16250°W / 32.71500; -117.16250
Nchi Marekani
Jimbo California
Wilaya San Diego
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,353,993
Tovuti:  www.sandiego.gov
Mahali pa San Diego katika San Diego County na California

San Diego una wakazi milioni 1,3 katika eneo la 963.6 km².

Jina la San Diego latoka katika lugha ya Kihispania, kwa kuwa ulijengwa kandokando ya konventi ya Wafransisko iliyokuwa na jina hilo kwaheshima ya Diego wa Alkala.

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya California bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu San Diego, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  NODES