Sanje ya Kati ni kisiwa kimojawapo cha mkoa wa Lindi, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi.

Sanje ya Kati ni maarufu kwa upatikanaji wa magofu makubwa ya kiakiolojia pia ni ngome ya kibiashara ambayo inajumuisha msikiti wa Sanje ya kati.[1]

Historia

hariri

Kisiwa hicho, ambacho kiko katika kata ya Pande Mikoma, ni eneo la kihistoria ambalo halijachimbuliwa kikamilifu.[2]

Eneo hilo hawaishi tena watu lakini lilikuwa nyumbani kwa Waswahili enzi za mawe za kati.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. https://www.researchgate.net/figure/Map-of-the-Sanje-ya-Kati-medieval-stonetown-site-Kilwa-Bay-Tanzania-after-Stephane_fig6_254952363
  2. Allen, James De Vere (1974). "Swahili Architecture in the Later Middle Ages". African Arts. 7 (2): 42–84. doi:10.2307/3334723. ISSN 0001-9933.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Lindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sanje ya Kati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
  NODES