Sipriani wa Calamizzi

Sipriani wa Calamizzi (Reggio Calabria, Italia Kusini, 1110 hivi - 20 Novemba 1190 hivi) alikuwa mmonaki padri aliyeishi miaka 20 kama mkaapweke halafu akawa abati wa monasteri ya Calamizzi hadi kifo chake.

Akizingatia kiaminifu mafundisho na mifano ya mababu wa Ukristo wa Mashariki, alikuwa mkali kwake mwenyewe, mkarimu kwa fukara na mshauri mzuri kwa wote [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Novemba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/90508
  2. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
  NODES