Skandinavia
Skandinavia ni eneo la Ulaya ya Kaskazini. Kwa kawaida neno linataja nchi tano za Norwei, Uswidi, Udani, Ufini na Iceland.
Kwa maana nyingine "Skandinavia" ni nchi mbili za rasi ya Skandinavia pekee, yaani Norwei na Uswidi.
Lugha za Skandinavia ziko karibu sana; zote ni Kigermanik ya Kaskazini isipokuwa Kifini ambacho ni lugha yenye asili ya Asia.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Skandinavia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |