Tegucigalpa
Tegucigalpa (Tegus kwa kifupi) ni mji mkuu na mji mkubwa nchini Honduras.
Jiji la Tegucigalpa | |
Nchi | Honduras |
---|
Ina wakazi zaidi ya milioni moja.
Historia
haririMji ulianzishwa na Wahispania mwaka 1578 kwa jina la "Real Villa de San Miguel de Tegucigalpa de Heredia" kama kituo cha migodi ya dhahabu na fedha.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tegucigalpa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |