Thuringia
(Elekezwa kutoka Thüringen)
Thuringia (Kijerumani: Thüringen) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 2,251 kwenye eneo la 16.172 km². Mji mkuu ni Erfurt. Waziri mkuu ni Bodo Ramelow (Die Linke).
Jiografia
haririThuringia imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Saksonia Chini, Saksonia-Anhalt, Saksonia, Bavaria na Hesse.
Picha za Thuringia
hariri-
Msitu wa Thuringia
Tovuti za Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Thuringia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Baden-Württemberg • Bavaria (Bayern) • Berlin • Brandenburg • Bremen • Hamburg • Hesse (Hessen) • Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern) • Saksonia Chini (Niedersachsen) • Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen) • Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz) • Saar (Saarland) • Saksonia (Sachsen) • Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt) • Schleswig-Holstein • Thuringia (Thüringen) |